المدة الزمنية 9:53

PICHA ZA DRONE: MUONEKANO BARABARA ZA MJI WA SERIKALI DODOMA

بواسطة Millard Ayo
24 992 مشاهدة
0
165
تم نشره في 2021/06/16

Ujenzi wa barabara kilomita 51.2 unaojengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Serikali MAGUFULI CITY uliopo mtumba jijini Dodoma umefika asilimia 70 na mkataba wake ni shilingi bilioni 89.1 na marajio ya mradi ni julai 31 na barabara hizo zinatarajiwa kuwa na vituo 52 vya daladala Katibu mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Profesa Riziki Shemdoe amelikataa ombi la mkandarasi la ongezeko la muda wa miezi 10 na amemuelekeza mkandarasi mshauri,wakala wa barabara mjini na Vijijini TARURA na meneja wa mradi aliyemteua kusimamia kwa hatua iliyosalia Mhandisi Gilbert Moga kupitia upya ombi hilo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 90
  • @
    @muzungujames5073منذ 3 سنوات uwaao late magufuli J he was one the extraordinary person, christmatic, and visionary leader African continent has ever had, so he deserve recognition for his contributions RIP NDUGU 4
  • @
    @estermathias8354منذ 3 سنوات Sijui kwann tu moyo wangu ukiona jina magufur nafrahia kwel 37
  • @
    @crytonsijaona6164منذ 3 سنوات Safi sana, haya ndio maendeleo. Ushauri wangu ni kutokana na jiji la Dodoma kuwa na asili ya janngwa. Ni mapendekozo yangu ya kuwa na upanjwaji wa miti mingi ili kupunguza vumbi na ukame. Tanzania oyee 6
  • @
    @smukelomkhize9775منذ 3 سنوات JPM Ulikuwa Unatisha to be Honest na Kwa Maono Yako Na fikiria zako 11
  • @
    @smukelomkhize9775منذ 3 سنوات Harafu Barabara Ni Nzuri sana Harafu ni pana 2
  • @
    @eddechriss2664منذ 3 سنوات Wenye mamlaka husika wakitengeza sera nzuri basi mji huu utakuwa ni bora kabisa barani Africa kama ule unaojengwa kule Egypt 4
  • @
    @ephantuskibiri1116منذ 2 سنوات Mungu awabariki viongozi wetu, waya timize haya malengo makubwa na ya muhimu Sana, Sana katika Mkakati wa Ku boresha uchumu wetu,tuliyo jiwekea, 2025 matunda yake yata Anza kuonekana kwenye macho ya wengi wasio amini,
  • @
    @nzagambaog4843منذ 3 سنوات Jpm alisema mpande na miti ya matunda mbona hivyo sasa 3
  • @
    @smukelomkhize9775منذ 3 سنوات Kuna Jamaa Anasema Njia za wapita Kwa miguu haoni 2
  • @
    @yasiniyamamoto8174منذ 2 سنوات Jpm mfalme wetu tupo pamoja na wewe hatuwezi kukusaliti mungu akulaze mahali pema na damu Yako haitoenda Bure.
  • @
    @RuzoOwzyمنذ 3 سنوات Wananchi wa kawaida ambao sio wafanyakazi wa serikali wanaweza nunua viwanja hapo?
  • @
    @smukelomkhize9775منذ 3 سنوات Nitafanya mpango ninunue kiwanja Hapo Nyumba Ekseii 1
  • @
    @issayasosolo6033منذ 3 سنوات Karibu mkuu miezi 17 kwa nyongeza ya miezi 10 wameanza kuwachea sharubu zenu hao wanataka wapewe miradi mikubwa hiyo kidogo wanacherewesha ,tutafika kweli, id="hidden4" class="buttons"> nakupongeza karibu mkuu kwa kauri yako Ila iwe na uhalisia maana hao hawana jema Wala baya! ....وسعت
  • @
    @fadhilikawambwa1586منذ 3 سنوات HUU MSAFARA WA MIGARI YOTE HII INAYOKULA MAFUTA YA NINI 2
  • @
    @marcogodfreymboya7349منذ 3 سنوات Fedha za contingency!!!!!!.zitapigwa hizo!
  • @
    @manmill2444منذ 3 سنوات Tz kweli balaa , mtu kaomba kazi mpaka anavuja jasho kwa bush up ili serikali imlipe , lakini inafikia kipindi mtu huyo mnamfanya mungu mtu, .mnacho id="hidden5" class="buttons"> kisahau binadam ni kwamba . Anachokifanya ni ombi lake mwenyewe.Kama hutoelewa.waulize wachawi ,unachokifanya ni maombi yako ....وسعت
  • @
    @raygamba174منذ 3 سنوات Mkataba wa project yote hii Ni billion 89, huku kajumba ka BOT kamegharibu billion 24, sote Ni wa Mungu na kwake tutarejea, na kwanini mulipe fedha zote mradi haujaisha? Ila Hongereni kwa Kazi hii kubwa ,Kazi iendeleee
  • @
    @msingida33منذ 3 سنوات Kwanini wakichelewa wasiwe wanakatwa makato kiasi fulani kurudisha baadhi ya fedha ilikukomesha ucheleweshaji, mbona wazungu wa natapia ya kuwapiga faini id="hidden7" class="buttons"> wakandarasi wakichelewesha kazi kwanini Tanzania hawafanyi hivo ili kukomesha hii tabia za ucheleweshaji usiyo na maana. ....وسعت
  • @
    @kabwelasutiviraka4765منذ 3 سنوات Akili za matope wazee walio serikalini , sasa inakuwaje kujenga barabara wakati sehemu za watembea kwa miguu hamna miti au vituo vya dala hamna stendi id="hidden8" class="buttons"> ya kuzuia jua Mtembee au muwaachie Wazungu wawajeengee kama wanavyojenga miji yao hawa Wachina wanajengea vitu sub standard na planing ovyo. ....وسعت 2
  • @
    @ilynpayne7491منذ 3 سنوات Mbona naona jangwa tuu hakuna majengo ya kueleweka
  • @
    @msafiriiddy3135منذ 3 سنوات Eti magufuri city mbona city yenyewe haionekani ni mchanga tu na vichaka 1
  • @
    @Ndu-wa.uroony2منذ 3 سنوات Mji ni mzuri ila wamekosea kuuita Magufuli city 3
  • @
    @issayasosolo6033منذ 3 سنوات Karibu mkuu miezi 17 kwa nyongeza ya miezi 10 wameanza kuwachea sharubu zenu hao wanataka wapewe miradi mikubwa hiyo kidogo wanacherewesha ,tutafika kweli, id="hidden12" class="buttons"> nakupongeza karibu mkuu kwa kauri yako Ila iwe na uhalisia maana hao hawana jema Wala baya! ....وسعت
  • @
    @manmill2444منذ 3 سنوات Tz kweli balaa , mtu kaomba kazi mpaka anavuja jasho kwa bush up ili serikali imlipe , lakini inafikia kipindi mtu huyo mnamfanya mungu mtu, .mnacho id="hidden13" class="buttons"> kisahau binadam ni kwamba . Anachokifanya ni ombi lake mwenyewe.Kama hutoelewa.waulize wachawi ,unachokifanya ni maombi yako ....وسعت
  • @
    @msingida33منذ 3 سنوات Kwanini wakichelewa wasiwe wanakatwa makato kiasi fulani kurudisha baadhi ya fedha ilikukomesha ucheleweshaji, mbona wazungu wa natapia ya kuwapiga faini id="hidden15" class="buttons"> wakandarasi wakichelewesha kazi kwanini Tanzania hawafanyi hivo ili kukomesha hii tabia za ucheleweshaji usiyo na maana. ....وسعت
  • @
    @kabwelasutiviraka4765منذ 3 سنوات Akili za matope wazee walio serikalini , sasa inakuwaje kujenga barabara wakati sehemu za watembea kwa miguu hamna miti au vituo vya dala hamna stendi id="hidden16" class="buttons"> ya kuzuia jua Mtembee au muwaachie Wazungu wawajeengee kama wanavyojenga miji yao hawa Wachina wanajengea vitu sub standard na planing ovyo. ....وسعت 2