Jinsi Ya Kupika Vitumbua Laini | Bila Ya Kuroeka Mchele Usiku kucha! | Mapishi Rahisi Ya Kiswahili
*** ENGLISH VITUMBUA VIDEO - /watch/omm7AJIOuDJO7 ***
Vitumbua Laini - Tutie Mayai au Tusitie?
/watch/g_xBuiKYl0lYB
Sambusa tamu za nyama - /watch/UE-oMZJz7VCzo
Mkate wa ufuta mlaini bila ya kupiga unga - /watch/Ub6AVmfMYNsMA
Kaimati bila ya kupiga unga - /watch/Qm_S_9olxy8lS
Hapa kutazama mapishi ya chapati laini bila ya kukanda unga: /watch/MaoS-RquduruS
Mchuzi wa kamba (prawns) na karanga (peanut butter) - /watch/AEKa97-0ZHv0a
Matembele ya nazi: /watch/8TxYTKEiWpDiY
📌MAHITAJI
📌Vipimo vya kikombe cha chai (mug):
- Kikombe 1 cha mchele wa basmati
- Hiliki 5 au kiasi unachopenda
- Kikombe 1 mpaka 1.5 cha tui la nazi (kama hutumii yai, tumia kikombe 1.5 cha tui)
- Sukari kikombe 0.75
- Yai 1
- Hamira kijiko cha chai 1.5
📌Vipimo vya mililitre na grams:
- 260g mchele wa basmati
- Hiliki 5 au kiasi unachopenda
- 400ml tui la nazi
- 200g sukari
- Yai 1
- 1.5tsp hamira
📌Vipimo vya vijiko vyaku pimia:
- cup 1 na 1/4 mchele wa basmati
- Hiliki 5 au kiasi unachopenda
- cup 1 na 3/4 tui la nazi
- cup 7/8 sukaru (au zidisha kama unapenda)
- Yai 1
- kijiko cha chai 1.5 hamira
📌Chuma cha vitumbua online:
UK - https://amzn.to/2EK39PN (sawa sawa na chuma changu)
US - https://amzn.to/2XWRHYh
Chuma hiki excact ni tabu sana siku hizi jupatikana.
Kuna mama mmoja yuko UK ana uza vyuma vya vitumbua kutoka Tanzania. Tangazo lake na namba ya simu katia hapa youtube:
/watch/oFZpcz_rqhErp
Vijiko vyaku pimia:
UK - https://amzn.to/2IDZJ3T
US - https://amzn.to/2KPo21t
Kama
Vifaa nnavyo tumia kupiga video:
Camera - https://amzn.to/3Ny8IkE
Lense 1 - https://amzn.to/3y0nWcC
Lense 2 - https://amzn.to/3NwPFaC
Taa - https://amzn.to/3OArhpZ
Vifaa vya taa - https://amzn.to/3OAg9t3
Heavy duty stand - https://amzn.to/3I747VQ
Tripod - https://amzn.to/3OVtpbl
Mic - https://amzn.to/3OAxbam
📌Subscribe hapa ili uweze kujua nikitoa mapishi mapya: /channel/UCCySV7KjPReQc9hcb39McKg
📌About Me:
I love to experiment on food to find the best ingredients and techniques for the desired outcome. If you appreciate what I do and want to see more, please like, leave a comment and subscribe.
Contact: swahilispice@gmail.com
TikTok: https://vm.tiktok.com/ZMNfq36uq/