المدة الزمنية 9:53

KIPOFU ABAKWA NA KUPATA UJAUZITO | ALIINGIA ASUBUH WAZAZI HAWAPO AKANIBAKA

بواسطة Maximum Tv Online
18 358 مشاهدة
0
134
تم نشره في 2020/08/13

#MaximumTv #SadMoment

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 112
  • @
    @goodgood9370منذ 4 سنوات Walifanya makosa kumtoa hiyo mimba wangemuacha huenda huyo mtoto alikua msaaada mkubwa kwa maisha yake.. 34
  • @
    @coletashirima2193منذ 4 سنوات Namwappriciate sana uyu kaka wa maxmum . Anafuatiliaga habar nying za watu kwakwel maana watu wanaeza kupata msaada lkn pia ata wengine inawasaidia kimawazo kwakwel dah 11
  • @
    @aishanatamaniningekuepoktk5062منذ 4 سنوات Mbona watu hawana imani hv Allah amfanyie wepesi lkn kasha muachia mtihani mama kashazeeka nahuyo nae nimlemavu subhanallah inauma sana 7
  • @
    @minjaminjaukovizurdogo5187منذ 4 سنوات Huyo mtto ndiye angekua msaada wa baadae maskini daa! Pole sana dda ndo ushapoteza hivyo nguzo yako ya baadae, Mungu akusimamie rafiki 3
  • @
    @mariamm2724منذ 4 سنوات Duh nikosa kubwa sana walivoitoa iyo mimba, pengin huyo mtoto angemsaidia mamaake. 5
  • @
    @hawakiza6067منذ 4 سنوات Subhaanallaah mmetoa kiumbe kingekuja kuwa saidia, dhambi kubwa kuuwa kiumbe sichichokua na hatia 3
  • @
    @lailatiymohammed8475منذ 4 سنوات Jamani binaadamu imani imepotea Allah atustiri Allah atamlipia duniani atamfedhehesha in shaa Allah 7
  • @
    @katibatanzania3089منذ 4 سنوات Mmmmm pole sana mdogo wangu mungu atajuwa jinsi gani ya kupata misada
  • @
    @muniraally2529منذ 3 سنوات Subhanna Llah jamani watu hawana imani jmni kumbaka kipofu kma huyu
  • @
    @khadijahali4837منذ 4 سنوات Mh jaman watu mbn tunakosa utu khaa Mungu amlaani hy mkaka hk alipo mtu anahitaji msaada yy anamkandamiza 2
  • @
    @hebronsdaughter1661منذ 4 سنوات Jamani watu wawe na huruma,mbona umfanyie mwenzio hivyo Mungu atawahukumu wafanyao unyama kama huu 3
  • @
    @hijjahbintmardhya6613منذ 4 سنوات Inalillah wainah illah rajihun. Mwenyezi Mungu atunusuru na adhabu zake 5
  • @
    @sssaminasaidaaamashaalah3291منذ 4 سنوات Watu tulokosa huruma jmn duuuh inasikitisha sanaa pole sanaa kwa uwezo wake allah unaona 1
  • @
    @coletashirima2193منذ 4 سنوات Mungu atusaidie tu kuna watu hawana huruma 2
  • @
    @user-cr9mf7dg4kمنذ 4 سنوات Jaman binaadam sijui tukoje tumekosa huruma 1
  • @
    @africanheroestz-acapella2458منذ 4 سنوات Tuwe na hofu na Mungu hii inaumiza sana, nikosa kubwa kutumia udhaifu wa mtu kwa kujinufaisha wewe, very bad!!!!! 3
  • @
    @safiyatheonlything7848منذ 4 سنوات yani huyo kaka mungu ata muhukumu lnshallha
  • @
    @beatriceamber4532منذ 4 سنوات Mungu wang wanaume cjui wakoje awaeleweki at a uruma jamani 2
  • @
    @zainabukivale5824منذ 4 سنوات Mungu anamakusudi yake jamani uyo alie mbaka na kumpa ujauzito labda ingekuwa nimsaada wa uyo dada sasa awo walie mtoa mungu anawaona
  • @
    @safiaothman1098منذ 4 سنوات Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'uun.
    Mwenyezi Mungu awalaani walimfanyia Kitendo hicho,Aamiin.
    6
  • @
    @muaminhakizimana1671منذ 4 سنوات Wangemuwaca aka zaaaa huwenda mtoto angemsaidiya 6
  • @
    @mariamfaki1166منذ 4 سنوات Dah pole sana sasa kavaa nguo kama mnyonya damu umemuonaje mdogo wangu 1
  • @
    @michaelkigaraba5784منذ 4 سنوات Binafsi nmeumia sana binadamu wanyama sana 1
  • @
    @marymfugwa847منذ 4 سنوات Kama wamemtoa walifanya kosa huyo mtoto kama angezaliwa huwezi jua labda ndo angekuwa msaada badae. 1
  • @
    @ibrahimrukundo3064منذ 4 سنوات MWENYEZIMUNG awafariji nivyema tuasaidie. 1
  • @
    @zaitunijuma7831منذ 4 سنوات humu dunian Kuna badhi ya wanaume wame kuwa makatili hiv jaman kweli umbake kipofu bad ya hp nifaid gan unapat fikiria km una dd ako Ana matatizo km hay id="hidden3" class="buttons"> alfu aje jitu2 akubakie dd ako utajisikiaje pia icho kiumbe kingemsaidia badae man wana kuwag na akili sn mungu atakusaidia pole sn ....وسعت
  • @
    @rukiamwakinyo5324منذ 4 سنوات Kwa hali hii tetemeko na corona unafikil itaisha SUBHANALLAH 2
  • @
    @mrsochu-hv7bmمنذ 4 سنوات Kwanini mmilimtoa.iyo mimba jaman asaiv.mtoto angekua mkubwa anamtuma maji.maana mi mwanangu asaiv namtumia.maji ya kunjwa.kopo la chumvi.ni class="buttons"> vitu vingine vyepec vyepec.miaka miwili kwa mtoto ni mingi sana kama mtoto atakua hana maradh ....وسعت 1
  • @
    @habibakhalfan1065منذ 4 سنوات Mmekosea_msinge_itoa_hiyo_mimba_Allah_angempa_mwanae_wa_kunsaidia 5
  • @
    @aishachambo3293منذ 4 سنوات Kwann wameitoa mimba jamani mtoto hana ubaya jaman
  • @
    @surayakhan3955منذ 4 سنوات Wewe kaka unanifurahisha yani unafatilia habari zinazotokea kwenye jamii safi sana sio Kama wengine wanaweka udaku tuu ilimradi wapate views YouTube 1
  • @
    @vero57منذ 4 سنوات KWAKELI , KUNA VITU VINGINE HAVIFAI HATA KUSEMA KHAAA, SASA WEWE MWANAUME ULIYE FAYA HIVYOI UNAONA RAHA GANI APO ULIPO???? 3
  • @
    @zulfamohamed4549منذ 4 سنوات Kuna bahaz ya wanaume afazar shetwan rahan tullah yan mtu unamuona yupo kwenye wakat mugumu bad wampa tena wakat mgumu kwan kama zinaa kwako fahar siuwende id="hidden5" class="buttons"> kwaware wanao jiuza why umfanyie unyama mtu asiye kukosea Allah awarahan wote wenye tabia za shetan ....وسعت 2
  • @
    @anthonymaganga6608منذ 4 سنوات Wasinge mtoa hyo mimba Bora angezaa mwanae wenda badae angekuwa faraja maskin
  • @
    @aisatahaisatah2612منذ 4 سنوات Apo kaka yang umenichekesha eti alikua anakwambiaaje ila wallahi inauzunisha yani mtu hana huruma haoni atahali ya anae fanyia ichokitendo 1
  • @
    @nasranassor6796منذ 4 سنوات Kila cku zinaposonga ndivyo laana zinapozidi subhanallah 1
  • @
    @vero57منذ 4 سنوات HII NI KAMA YULE DADA WA BUGURUNI, NA SASA YULE BABA ALIYE MBAKA YUKO URU ETI, MAGUFULI TUNAOMBA TUSAIDIE BABA 2
  • @
    @husnahassan6289منذ 4 سنوات Jamani sie binaadamu tuna roho gani makahaba wote mtu hajawaona kwenda kumzurumu mdada wa watu kumfanyia kitendo cha kinyama kama hivi MUNGU atakulipa hapahapa duniani Ameen 3
  • @
    @ntibaali3865منذ 4 سنوات Hiyi kesi na muomba Rais Magufuri akate hiyi kesi 1
  • @
    @dullamburu1718منذ 4 سنوات Viumbe wazito binaadamu wabaya Sana Sisi mlemavu una mzulumu kama hivyo unambaka hayo masonzo yapo tele buguruni pesa yako tu wafate hao na sio walemavu. 1
  • @
    @wardamunguakuzidishew9399منذ 2 سنوات Wajinga sana awa watu mtu mwenyewe kipofu ndio uyo alie mbaka kafanya vibaya lakini pia ni vizuri maana angejipatia mtoto wake
  • @
    @lucylucy7307منذ 4 سنوات inauma san tu ila huyo jamaa amefny kosa l kump mimb hali waliyonay mby toka enzi zaoo n hiy family inamtihan kwel watot 6 wamebk wawili 2 tu kwel inauma id="hidden8" class="buttons"> aliyemp mimba amefny kosa n amafny saw aliyemtoa mimb amefny kosa san ila binadamu wote wanaitj kupta maitj kama hayo bado mdog dada hiyo mimb angeazaa angekuj kusaidia maishain mwake n hata huyo mwenye mimba angekuj tu kudai kuwa mtoto wake damu zito hapo alipo kwahy atawez tena kuolewa au kuzaa maaan amepta kilichokuwa kinaitajika katika jamiii kimeondolewa mm nilithan ingekuwa furah tu kw family yenu maan watu kama hao watu wanaogop hata kuwatongoz au kuwaoa leo amepta barak y mimba imetolewa kwahy mwamanisha atanzaa kamwe milele au ndo nini mbon weny hali kama iyo wanafamilia eee mwenyez mung ione hiyo family yko baba wewe ndo kila kitu hap ulimwenguni amen ....وسعت
  • @
    @lizzydiy4590منذ 4 سنوات Ila wanaume wananyege mbayaaaa yani ukisikia nyege za kiswahili ndio hizii 4