Mkoa wa singida unaendelea na shughuli mbalimbali kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa tanganyika ( Tanzania
ofisi ya muu wa mkoa ikiwakilishwa na RAS Mwalimu Doroth Mwaluko imetembelea maeneo ya kihistoria ikiwemo nyumba aliyolala mwalimu Nyerere wakati wa harakati za uhuru, kambi za wageruman , eneo walipokuwa wanyongewa watumwa , na makaburi ya jeshi na watumishi wa wagerumani
#miaka60yauhuru
#tanzaniaimarakaziiendelee
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على DUUH KUMBE NYERERE ALIFICHWA SINGIDA HARAKATI ZA UHURU: