MTOLEA Avuruga Bunge Leo, BASHE Amnyanyua Waziri!!
Ni Mkutano wa 13 wa Bunge la 11, Kikao cha 01, unaendelea muda huu Katika makao makuu ya nchini Jijini Dodoma.
Ambapo Kabla ya kuanza kwa kipindi cha Maswali na Majibu, Spika wa Bunge, Job Ndugai, akawaapisha Wabunge Wapya ambao walichaguliwa na Wananchi katika chaguzi za marudio, akiwemo Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga, Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara na wengine.
#BUNGENIDODOMA
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari
Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV
Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw
Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL
Website: www.globalpublishers.co.tz
FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers