المدة الزمنية 4:27

MSICHANA ALIE ONYESHA UMAHIRI MKUBWA MBELE YA DIAMOND PLATINUM UTASHANGAA | NILIFUKUZWA NYUMBANI

بواسطة Muzy experience
61 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/07/22

rechal ni msichana mdogo wenye uwezo mkubwaa kwenye kutoa burudani kwenye stage ya maelfu ya umati WA umma afunguka kuhusu Maisha yake mbele ya msanii diamond platinum tunajua Tanzania ni miongoni mwa nchii ambazo mtoto wa kike akiwa na kipaji mara nyingi huwa hapati support kwenye kazi zake sasa msichana huyu alimua kuhama nyumbn n kwenda kuanzishaa Maisha yake mbali na nyumbn kutokana na adha mbali mbali anazopitia kwenye maisha yake ya ku dance jukwaani

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4