المدة الزمنية 12:22

LEMA AMZUNGUMZIA KIGOGO BUNGENI, SPIKA APIGA MARUFUKU

بواسطة Mwananchi Digital
53 567 مشاهدة
0
252
تم نشره في 2020/06/05

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akizungumza bungeni alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Bunge ya Sheria Ndogo kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa katika mkutano wa 18 na 19 wa Bunge, jijini Dodoma leo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 56