المدة الزمنية 6:57

Wananchi wa Masasi walia na uhaba wa maji uliokithiri kijijini kwao

بواسطة The Chanzo
282 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2021/12/06

Wananchi wa Kata ya Mpanyani, wilyani Masasi, mkoani Mtwara wamelalamikia hali 'iliyokithiri' ya ukosefu wa maji katika vijiji vyao, wakiitaka Serikali pamoja na wadau wengine wawasaidie kuondokana na changamoto hiyo ya muda mrefu. Wakati wa mahojiano na The Chanzo iliyofika kijijini hapo kuzungumza na wananchi hao kuhusiana na kadhia hiyo, wananchi hao wanasema kwamba changamoto hiyo inaathiri maisha yao kwani inawazuia kufanya shughuli zingine za kujiingizia kipato kutokana na kwamba wanalazimika kutumia muda wao mwingi kutafuta maji kwa ajili ya matumizi yao ya nyumbani. #TheChanzo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1