المدة الزمنية 4:1

Vidonda Vya Tumbo

بواسطة KTN News Kenya
35 281 مشاهدة
0
79
تم نشره في 2010/06/21

Vidonda vya tumbo maarufu kama ulcers kwa lugha ya kimombo ni tatizo ambalo huripotiwa kukumba maelfu ya watu, lakini dhana tofauti zimeibuliwa kuhusu vyanzo na tiba ya vidonda vya tumbo. Kwenye makala ya afya yako, Damaris Kitavi anatufafanulia mengi kuhusiana na vidonda vya tumbo, pamoja na matibabu yake.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11