المدة الزمنية 5:16

Wanawake Msiwape Pombe watoto ili watulie Dkt. Ritta Kabati (Mb)

93 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/07/22

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Dkt. Ritta Kabati amewataka wanawake wa Mkoa wa Iringa kuacha tabia ya kuwapa vilevi watoto kwa kigezo cha kuwatuliza wanapokuwa katika mihangaiko yao. Kabati ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wanawake wa Wilaya ya Kilolo, katika kata ya Ilula walipokuwa na jukwaa maalum la wanawake kujadili masuala mbalimbali ya wanawake. Kabati amesema kitendo cha wanawake kuwapa watoto pombe ni kosa kisheria na pia inapelekea watoto hao kupata udumavu katika ukuaji wao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0