المدة الزمنية 12:44

TAZAMA MAPOKEZI YA TUNDU LISSU MOROGORO KUANZIA MSAMVU MPAKA MASHUJAA

بواسطة Millard Ayo
54 771 مشاهدة
0
351
تم نشره في 2020/09/11

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 268
  • @
    @adielymwarabu5474منذ 4 سنوات Sio bure mungu anampango mzuri na lisu 1
  • @
    @derickthobias6393منذ 4 سنوات Mungu akupe maisha malefu mweshimiwa lissu 2
  • @
    @piasonedom1215منذ 4 سنوات Lissu ni nomaaaa sanaaaaaaaaaaa ana faa kuwa rais 4
  • @
    @halley807منذ 4 سنوات Niyeye2020. Lisuuuu oyyyyeeeeee. Tunakupenda. 5
  • @
    @frankmlowe4819منذ 4 سنوات tunakusubiri Njombe kwa hamu mzee baba 20
  • @
    @edwinkimambo9473منذ 4 سنوات Kama umemuona wabasikeli anambio kuliko wa bodaboda nipe like 7
  • @
    @dasilvajunior3016منذ 4 سنوات Pamoja xana rais ,umetisha bila wasanii 12
  • @
    @iliasaliogopen6505منذ 4 سنوات Dua naiyomba amina kuitikia ,hasbunallahu waniimal wakiil. 6
  • @
    @ukweliunauma4570منذ 4 سنوات Mwenye macho hambiwi tizama ccm imekwisha kazi kupeleka waanafunzi tu mikutanoni 1
  • @
    @sigifridahendry4483منذ 4 سنوات Tatizo Ni wajumbe utajaza kweny mikutano kwenye kupiga kura unabaki mwenyewe 3
  • @
    @margarethorgenes4874منذ 4 سنوات Mashabiki hawajajiandikisha, keshokutwa watasema wameibiwa kura kwa kuwa barabarani walikuwa wengi. Yangu macho. 2
  • @
    @admaumsengi4230منذ 4 سنوات Kwenye msafara ayo mnatuonyesha lakini akianza kunadi sera mnaanza kukatakata mwogopeni mungu 2
  • @
    @neemamasimba2981منذ 4 سنوات Kawaida Sana hao no wnajumbe jamani ,wajumbe ninyi wajumbe.
  • @
    @shedracksimon1868منذ 4 سنوات Kuna sababu ya wewe kua hai mh tundulisu 1
  • @
    @issayasosolo5463منذ 4 سنوات Watamwelewa tu chura kapigwa teke na polepole anazidi kwenda mbele tund hatari Sana! 4
  • @
    @masabamarkosamweli4937منذ 4 سنوات Kama umemuona askari akipiga makofi nipe like. 46
  • @
    @aggreyenock1221منذ 4 سنوات Miradi uwe unaweka ndefu sana watu tunaweka bundle zetu kumuangalia lissu 3
  • @
    @atiliomitao7106منذ 4 سنوات Kaka millard ayo naombeni mnisaidie namba ya mheshimiwa tundu lissu asante
  • @
    @ghadnehamed9138منذ 4 سنوات Ni wewe tu lissu. Mungu akuweke
    Uwatoe taka za maskio wasojijua
    4
  • @
    @neemamwakatika12منذ 4 سنوات Watz mkilogwa tu mkachagua ndudu hii hapo mnapigwa lockdown hata kabla ya kuapishwa. 1
  • @
    @khamissnassor1462منذ 4 سنوات Mwendo ni ule hapa tunaskiliza madongo makali af tukitoka hapo tunaenda upande wa kijani kucheki show ya mondi
  • @
    @kalufunyangenyakinyungu5087منذ 4 سنوات Kwa JPM bado saana,akasome ,hamfikii hata nusu yupo robo bado 1
  • @
    @emmanuelmosha2278منذ 4 سنوات Utaskia wanasema maanamano, je yule anaefanyia mikutano katikati ya barabara hawamuoni 4
  • @
    @edwardlutema6006منذ 4 سنوات Ukweli ni kwamb hamna wapiga kula uchaguzi huu myspiwa vibaya sana
  • @
    @julianamasunga700منذ 4 سنوات Ngoja mwenye nchi aendeee morogoro .ndiyo utaelewa maharange siyo mbongaaa.
  • @
    @chajanevatv4546منذ 4 سنوات wanapeleka maiti au mbona hawaana hata shangwe kwa watu? Chadema mnapoteza mda
  • @
    @aronassom5134منذ 4 سنوات Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapo hakuna msanii hata mmoja lkn raia wanamfata
    NI yeye 2020
    29
  • @
    @fintaniferx9535منذ 4 سنوات Da iv apo ni mjini au? nuyumba zote ni vibanda kweli Africa bado sana 1
  • @
    @mashajafari9765منذ 4 سنوات Tokalini ukavakanzu at uvae majoho apati kitu
  • @
    @aggreyenock1221منذ 4 سنوات Jamani mh lissu anatumia mda mwingi kuzunguka tatizo vyombo vya habari havina mchango 20
  • @
    @josephatraymond4902منذ 4 سنوات Amna kitu hapo. Boda namilio ya onih ndo et nyomi
  • @
    @eischerschwederm7876منذ 4 سنوات Maskini hata mhemko hakuna..kweli magu kiboko ya uchafu 1
  • @
    @mussamchena9595منذ 4 سنوات Too bad bodaboda mnatumika kizenbe sana 3
  • @
    @theophilbuay4005منذ 4 سنوات Millard ayo huwa hawafiki kwenye mkutano nn? 1
  • @
    @pascalmstaarabu4372منذ 4 سنوات Hahahaaaaaa walinipa hela ya mafuta niunge msafara nikaweka wese na nikaacha kwendaaaa hahaaaa hahaaaaa 1
  • @
    @jamalahmed7057منذ 4 سنوات Kwa kweli lissu nilifikiraia anajielewa kumbe kaingia choo cha kike,hawezi kushinda uchaguzi huu wenziwe wamejipanga hata akiingia mtaani hawatoweza kushinda watakufa tu
  • @
    @aichaabdul5844منذ 4 سنوات Bado hamjafikia pale kwa Lowassa wakati akigombea uraisi kupitia chadema, alikwa na ushawishi mkubwa sana.
  • @
    @sponsor7882منذ 4 سنوات Rais ndiye huyu ndugu zangu..hatumii nguvu za wasanii.
  • @
    @pancrasshirimaمنذ 4 سنوات Na hapo hajatumia wasanii ni upendo tu wa wananchi 1
  • @
    @presseg.6362منذ 4 سنوات Kumbe ndio mnawaita watu! Kwa jembe letu magu huwa watu wameshakaa tayari, wanamsubiri! Siyo nyie na masifa yenu! Alafu na maneno yenu ya Faraja kwamba id="hidden2" class="buttons"> hamna wasanii!; wasanii wanaipenda Ccm, sasa nyie chadema mna nini, mmebaki kulalamika na kutukana ....وسعت 1
  • @
    @officialstoner771منذ 4 سنوات Yaan hao wote wanamsindikiza tu hajui mchezo wao 1
  • @
    @davidndaha9607منذ 4 سنوات Mbona ccm wanaogopa upinzani??!! Wakati wanasema wanajiamini wamefanya mengi!. 1
  • @
    @gracemima5234منذ 4 سنوات Kataa kudanganywa. Tundu Lissu ni kibaraka
  • @
    @NoorAhmed-lg8xrمنذ 4 سنوات Hizo ni mbio za sakafuni subiri Oct 28 ndipo utakapofunga domo lako tushakwambi hatudanganyiki
  • @
    @gracemima5234منذ 4 سنوات Angalia barabara za Magufuli raha tupu. Hakuna vumbi. Kisha anasema atamuondowa Ikulu. ATAWEZA. KWELI? HAWEZI
  • @
    @shukurumwalukopetro6757منذ 4 سنوات Je hao boda wamejaziwa mafuta! Wamekusanya vikiweni au wamejitoa kwa upendo kwa hadema?
  • @
    @thatlustyidiot9418منذ 4 سنوات Hatutaki kungwa macho na lisu chagua magufuli = maendeleo ya tanzania 5
  • @
    @ibrahimimu5978منذ 4 سنوات Nyie nyote mngelikua mpo kwenye Nchi inayotambua na Kuheshimu Uhuru wa Habari, Basi Mngefungiwa nyote. Sasa hii ndio nini?? Kwahivyo ulikusudia Uwaonyeshe Watu Msafara tu. shame on you. 1
  • @
    @yassiniferuzi2867منذ 4 سنوات Mgombea Urais wa ACACCIA kupitia kivuli cha CHADEMA hatuchagui Rais wa kwenye gunia huyo atakuwa Rais wa Kafara Kuwadi wa ACACCIA atauza Nchi tayari tuna id="hidden4" class="buttons"> Rais JPM anatosha huyo wa kwenye gunia wa kafara aende Ubeligiji hapa kwetu hatufai akapige pasi tu .JPM Hoyeeeeeeeeeeee Kuwadi Lissu ziiiiiiiiiiiiiiloooooooo ashindwe na aleegee mneo ....وسعت
  • @
    @charlesmaghuha5853منذ 4 سنوات David silinde wa tunduma kamfunika vibaya lisu, naskia kelele tu, sioni watu mimi 8
  • @
    @titosanga5447منذ 4 سنوات Mwaka huu uhakika ikulu ni ya chadema. 7
  • @
    @naimumwahu7723منذ 4 سنوات Huyo mwenye baiskel alitendewa nn na ccm hadi kakanyaga baik ivo 3
  • @
    @abdallahmuttaq7306منذ 4 سنوات Mbna mnalazimisha watu wenyewe wala hawana story 3
  • @
    @eliamwasomola5074منذ 4 سنوات Ninavyo mfaham mkuu Wa chama dola anae miliki mapolisi tume ya uchaguzi atakapo tangazwa ameshinda angali hajashinda wengi tutajuta kuzaliwa maana no Mzee id="hidden5" class="buttons"> Wa visasi watu watafilisiwa wataumizwa magereza zitajaa wanao mkosoa jiandaeni ....وسعت 7
  • @
    @maspro6294منذ 4 سنوات Wewe kibaraka wa mabeberu hakuna wa kuwapa inchi nyinyi mtabaki kubwaka kama mbwa koko wewe labda uwe Rais wa kuzibua vyoo na mashoga sio kuongoza inchi wewe uraisi kwako Sawa na katia maji kwenye pakacha 2
  • @
    @allycube7903منذ 4 سنوات Hoo hatutaki maendeleo ya vitu tunataka maendeleo ya watu barabara sie za nin acha barabara na madaraja yampigie kura saiz anatambaa kwenye barabara anazo tengeneza maguful na ccm kwel jamaa anaitaj mirembe 10