المدة الزمنية 9:23

NANDY : ALIKIBA NDIO NITAMPANGISHA KWENYE NYUMBA YANGU

بواسطة Jonijooo
881 405 مشاهدة
0
6.3 K
تعليقات - 739
  • @
    @dibabatv57613 years ago Peace Sana Nandy hana maringo,kama nawewe umemuona gonga like hapa 8
  • @
    @hassanabdallasalum42905 years ago Nandy na kiba km unawakubali gonga like apa 15
  • @
    @millymilly7244last year Nammiss huyu nandy jamani she was so cute and real😭😭 3
  • @
    @hamadimahali75315 years ago Jonijooo nakuelewa sana,ongeza maujanja yamaswali 2
  • @
    @wemakalamu35385 years ago C.E.O means. chief executive officer is the highest ranking person in a company or other institution @nandy one love we learn through mistakes 👍👍👍👍 9
  • @
    @sullegamasa77446 years ago Nandy nakuelewa sana my dear, Mungu azidi kukuinua katika kazi yako, 2
  • @
    @ndushidaniel66716 years ago Rock Nene
    Unamaswali yako safi sana kwa hao watu wanaojiita star
    3
  • @
    @maktabatv93256 years ago Jonijooo we ni mtangazaji bora sana kwangu 18
  • @
    @abumoyo8406 years ago Piga lock nene kizazi jeuri ,wauni cio watu wazuri nakubali mzee baba 29
  • @
    @zennakailo81066 years ago Nice 👍🏻 nakipend san hiki kipind my Allah bless you brother 6
  • @
    @emmanuelkarisa90945 years ago C.E.O..Chief Executive Officer.this is the high position in a company or institute. Dealing with managerial if am not wrong. 7
  • @
    @mrfinnytv73326 years ago Jonijoo nakukubal Sana kama na ww unamkubal gonga like hapa 177
  • @
    @julianarichard5745 years ago Jonijooo unakipaji baba you kill it ujawahi kosea baba 1
  • @
    @mwasitihatibu96916 years ago umeonaeee Limy masele, Big up Nandy unajibu vizuri 2
  • @
    @abeidabdullwarith89916 years ago Jonijoo upo vizr kaka lakini tuletee chegechigunda namkubali sana yule kaka nikiomuona popote nitamuomba tupige picha za kumbukumbu japo hanijui.
    Wahuni sio watu wazuri
    39
  • @
    @emmanuelmkalawa92426 years ago Jonijooo we Jamaa ni noma sana Aisee Nakukubali sana Big Up.... 2
  • @
    @abdhallahmwatsuma2596 years ago I salute you nandy..nakubali kazi zako 1
  • @
    @ashaally69936 years ago Hujui hata nchi yako imepata uhuru lini! Jonijoo nakupenda sana
    Wahuni sio watu wazuri 👏
    1
  • @
    @rahmaninoh74346 years ago Nice bro jonijooo show kaleeeh love you nandy 1
  • @
    @noshadinjopa69944 years ago I appreciate more my brother u do initiating me to be lyk u!!!! Wahuni co wa2 wazir🤣🤣🤣 4
  • @
    @munashabanimunashabani99766 years ago waallaah jonijooo unajua kukejeli wasani wasio jua kusomaaaaaa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 2
  • @
    @abouhafswah6 years ago _Up_Brother
    Ninakuelewa Kuliko¡¡¡
    1
  • @
    @benadfrenk59956 years ago King kibaaa aposawa mdada nandi nimekusoma 👑 4
  • @
    @mgykaboza56016 years ago Umetisha Sana m baba hiyo ndio dawa yao watoto wa kibongo aibu yote kaniachia Mimi apa 1
  • @
    @saumuhassan13656 years ago Nandy nakupenda sana, na nimependa ulivyojibu. 3
  • @
    @mudybakary89446 years ago Nandy Mke wangu mic you more than nand nakupenda kinyama mamaa😘😘😘😘😘😘😘 1
  • @
    @barytz59776 years ago Yaan hujuw Tz lini inepata Uhuru jmn kwa mfano upo nje ya nchi ukaulizwa hilo swali daaaaa mnatuanguxha xana jmn mpaka nimejickia vby!!!? 15
  • @
    @ezekiakiswaga80996 years ago Wahun so watuuu wazuriii!!!!!babakoooooo 1
  • @
    @vandan4536 years ago Good sana mzee baba
  • @
    @lujuo_tz11496 years ago nakubal sana bro .., kaz nzur siyo watu wazur
  • @
    @ahmadmhando25255 years ago Daaah...!!! Jonijooo unatishaaa Babako tunaishi kabla yq hapo ktk ma representer nilio kua nawakubali kwanza kqbisa alikua Milardayo lkn kwa xx mikoba ykooo Mzr babaaa tunaishiiii
  • @
    @Theflexstudiotz6 years ago Hapa ndo wajanya wa njini tunakutanaaaa
    😂😂😂😂
    10
  • @
    @abdul-raqibalirashid46906 years ago Good work broo kaza mbele tutafikaa 🙏😆 2
  • @
    @jumawaziri6136 years ago Unaweza kuongea kiingereza ila ukashindwa kuandika neno la kiingereza. Hiyo ni kawaida tu.washamba ndo watashangaa. 23
  • @
    @officialj.dollatz44605 years ago Kumuhoji mtoto mkali Kama huyo kipaji Sana 1
  • @
    @sheilajuma23326 years ago nice Nancy u mzuri without even make up nakupenda sana 1
  • @
    @juniormadini1246 years ago Baba unatisha sana hizi intaview zako dondosha kila siku mzazi wanao wakitaa tunazienjoy ile sana 2
  • @
    @davidopixtv23014 years ago jonjoo job ako
  • @
    @erickmoses63956 years ago Bro u doing good job... Nice interview ever. Keep it up! 3
  • @
    @gilberttz35006 years ago Jon jooh keen now you now som times angalia nawasanii wakup interview nandy hajui tz uhur mwka gn s pw 1
  • @
    @dianakingusamwel1336 years ago Nice
  • @
    @nasrmohamed53056 years ago Dah nljua interview ile ya eatv pke yke kumbe hujui kbsa interview nandy.kwel mungu hakupi vyote uhur wa tz pia hajui khaa alaf bruh jonijoh unazd kumpa maswali magumu tena yakuandka.khaaa wahuni c o wa2 wazury
  • @
    @lauriansimon68056 years ago Jonijoo me nakukubali napenda sana kipindi chako tupia daily bro!!
  • @
    @juliuskato51006 years ago namkbl sana nandy ntmn siku moja nkuone 1
  • @
    @sidefahari986 years ago Uko vizuri ongeza bidii na usikate tamaa
  • @
    @moseskayan37055 years ago Nilijua ni binge la msomi kumbe woooooo
  • @
    @mamboleofarmservices74076 years ago jonijo nenda clouds hawana vipindi vizuri vya TV, halafu wanafeli sana kwenye sound engineering, vipindi vyao vinakelele Sana. 5
  • @
    @Aidansimwanza6 years ago Nandy mama Aslay nakukubar mpka naumwa 5
  • @
    @emaydickson42396 years ago hongera kwa enter view iko very simple
  • @
    @stevenkongo26106 years ago Jonijooo we mkali hayo maswali hatarii