المدة الزمنية 27:6

Siku 7 za maombolezo kifo cha Rais Mstaafu Wiliam Mkapa

بواسطة ITV Tanzania
24 794 مشاهدة
0
72
تعليقات - 34
  • @
    @japhetyinzalufungulo8409منذ 4 سنوات R.i.p rais William mkapa mwenyezi mungu akupumzishe mahara pema peponi Amina . 1
  • @
    @edwardkapaya4809منذ 4 سنوات Rip rais wetu msitaafu mungu akutangulie 1
  • @
    @beatricmmpantaleo3420منذ 4 سنوات Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! Amina!
  • @
    @rithakuyala9951منذ 4 سنوات Mungu wangu, Mungu amlaze mahali pema peponi BABA etu AMIINA Poleni sana WATANZANIA
  • @
    @zaiibram5685منذ 4 سنوات mungu areze rohoyake pahalipawaja wema 1
  • @
    @witnessmbilinyi827منذ 4 سنوات Mwenyez mungu ampunguzie azabu y kaburi r I p 1
  • @
    @alicesosthenes9132منذ 4 سنوات R.I.P mstaafu wetu William mkapa mwenyez mungu akuweke maala pema
  • @
    @sarahsarah4919منذ 4 سنوات Ndah nishutuka Sana poleni Sana familia ya Baba mkapa Apumzike kwa Amina Baba yetu mkapa
  • @
    @dominomchau7136منذ 4 سنوات Rest in peace daddy Hr. Pres. William B. Mkapa
  • @
    @happycosmas6871منذ 4 سنوات Mungu ailaze roho yake mahalipema peponi
  • @
    @makdaletarugano7557منذ 4 سنوات Tanzania imepata msibamkubwa mungu amlaze baba yetu mpendwa maala pema pepon amina
  • @
    @cosmasmogasa9895منذ 4 سنوات Mhhh huyo anaetoa historia ya Ben Mkapa vipii??? 2
  • @
    @polebugalama9179منذ 4 سنوات Alikuwa amelazwa mbona hamjatujulisha mko kimya tu had I amefariki ndo mnatupa taarifa, 2
  • @
    @zozohmeed5546منذ 4 سنوات Mbele yako nyuma yetu baba kapunzike kwa amani innalilah wainnailah rajiun
  • @
    @rehemamoses7944منذ 4 سنوات Mungu amlaze mahali pema pepon
    Nimipango ya MUNGU
  • @
    @johnbutene727منذ 4 سنوات Menjamen wiliam mkapa mungu akuweke mahala pepona akupokea vyema maana ni safali ya ote
  • @
    @lutimahimbo9607منذ 4 سنوات Historiayake mbonahujatuambia
    Kaacha mke na watotowangapi
  • @
    @boniphacemwita4013منذ 4 سنوات Mola ailaze roho ya marehem pahal pema pepon
  • @
    @amosmoses7800منذ 4 سنوات Kwanini iwe Ni siku 7.
    Ebu tuone mazishi YA mzee MWINYI yatakuwaje.