المدة الزمنية 29:31

Matangazo ya AMKA NA BBC JUMATANO

بواسطة BBC News Swahili
1 614 مشاهدة
0
22
تم نشره في 2020/09/09

Miongoni mwa habari tulizokuandalia, Kiwango cha mauzo ya dhahabu nje ya Uganda kimeongezeka ambapo madini hayo ya thamani ya dola milioni 160 yaliuzwa kwa mwezi wa Juni pekee WARIDI WA BBC,Mara kwa mara matukio ya mtu kunusurika katika vitendo vya ukatili ikiwa ni pamoja na kubakwa hayachukuliwi na jamii kuwa yenye athari kuu hasa kwa muathiriwa. Tunae msanii wa Nyimbo za Injili Christina Shusho kujadili kuhusiana na talaka ukiwa kama mshauri wa ndoa #Ndoa #WaridiwaBBC #amkanaBBC

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2