المدة الزمنية 3:1

Familia Meru yalilia haki baada ya mwanao kuchomwa moto na afisa wa jeshi

بواسطة KTN News Kenya
2 739 مشاهدة
0
23
تم نشره في 2021/01/10

Familia moja kutoka eneo la Maitei kaunti ya Meru sasa inalilia haki baada ya kisa cha mwanamme mmoja kujeruhiwa vibaya kwa kuchomwa moto na afisa mmoja wa jeshi. Inaarifiwa kuwa afisa huyo wa jeshi alimshutumu mwathiriwa kwa wizi wa tanki la maji. Lakini Stanley Muthuia anadai kuwa afisa huyo wa jeshi alifika nyumbani kwao akimtaka amsaidie kulitafuta tanki hilo lakini akamgeuka na kumwagia mafuta ya petroli na kuwasha moto. Kama anavyoarifu Allan Ochanda, Stanley sasa amesalia nyumbani kuuguza majeraha ya moto huku mamake mzazi akimlisha na kumfanyia kila kitu. #Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: / Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 7