المدة الزمنية 1:36

ANTHONY KOMU, JOSEPH SELASINI, WILFRED LWAKATARE NA DAVID SILINDE WAFUTWA UANACHAMA CHADEMA - Katibu

بواسطة Jumoa TV
208 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2020/05/11

ANTHONY KOMU, JOSEPH SELASINI, WILFRED LWAKATARE NA DAVID SILINDE WAFUTWA UANACHAMA CHADEMA - Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema Kamati Kuu CHADEMA imefikia uamuzi wa kuwafuta uanachama Mbunge David Silinde na Mbunge Wilfred Lwakatare baada ya Wabunge hao kukiuka agizo la Chama - Pia, amesema Wabunge ni baada ya Wabunge hao kujitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa maneno ya kashfa na kejeli dhidi ya maagizo ya Chama na Viongozi wa Chama - Aidha, amesema Wabunge Anthony Komu na Joseph Selasini pamoja na kuwa wamejipotezea sifa ya uanachama wa CHADEMA, wamefukuzwa baada ya kuendelea kutoa kauli za kejeli, kashfa na kukiuka maagizo ya Chama - Mariamu Msabaha, amevuliwa nafasi zake zote ndani ya Chama na kubaki na Ubunge na atatakiwa ajieleze kwanini asichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo ya chama hicho #JamiiForums #JFSiasa #Siasa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0