المدة الزمنية 13:52

TAZAMA DIAMOND ALIVYOSHUKA NA NDENGE SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA

بواسطة Duma Tv
209 248 مشاهدة
0
872
تم نشره في 2020/08/22

MSANII WA MUZIKI DIAMOND PLATNUMZ AMESHUKA NA NDEGE UWANJA WA TAIFA LEO SIKU YA SIMBA DAY SHANGWE HALIJAWAHI KUTOKEA TAZAMA MWANZO MWISHO #Diamondplatnumz #simbaday #hajimanara #yanga

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 118
  • @
    @VENUSTVRwandaمنذ 4 سنوات Much respect to all Citizens of ! Respect to . Respect to .from . 1
  • @
    @surayakhan3955منذ 4 سنوات Hii ndio raha ya kusupport nchi yako uzalendo kwanza Tanzania ya Baba Nyerere ❤❤❤❤ 2
  • @
    @goodlucklinus141منذ 4 سنوات Mondi Kama Mondi .The next level✔✔✔✔ 8
  • @
    @fauziaaviriango6651منذ 4 سنوات This was a show and half wewe mtoto waki Bongo noma sana viva Tanzania.Nimekubali hamna Covid - 19.TZ.Wacha sisi tuvumilie hapa 254
  • @
    @innoboymusicaly2539منذ 4 سنوات Hatari mno kwa kweli mondy ni mbunifu sana kupitia kazi zake utaelewa tu kikubwa Fanya kazi na usikatee tamaa 1
  • @
    @aishakombo2037منذ 4 سنوات I have never seen
    Simba inatishaaa
    2
  • @
    @nownewsndayisenga2248منذ 4 سنوات Huu jama mondiiii.eeehh kalibu ya kuua dunia 3
  • @
    @krisschambika9820منذ 4 سنوات Jamaa ana uzoef na kzi yke daimond kiukwel broo anajua tumuombee kwa mungu ampe maixha bora 3
  • @
    @leymanleyman7426منذ 4 سنوات Oooh korona ooh Tanzania Kuna korona wakenya washindwe na walegee. Chekini watu wanavyo kula Bata Hadi kuku anaona wivu 1
  • @
    @zou7470منذ 4 سنوات Kula raha bro ila ukikumbuka kam aya maisha mafupi 3
  • @
    @tebogolucia6889منذ 4 سنوات Acha roho mbaya mwamba muacha mwaba atambe bn .c simba Johannesburg apa 4
  • @
    @elibariki7301منذ 4 سنوات Kwenye maisha kuna bahat!!!mond umepotea kwa sasa ila ndio hivyo jina linakubeba ila zamani ulikua unaimba si mchezo. 1
  • @
    @princebockson5299منذ 4 سنوات Afazali uko kwenu hakuna kya Corona maisha inaendeleya kama kawaida
  • @
    @jumashabani2283منذ 4 سنوات Kwakweli hii si ya kawaida acha mondi afanye yake anastahiri
  • @
    @abdalamfinanga6434منذ 4 سنوات Hii tim ya B walipata kiwewe kuona manjonjo
  • @
    @aceze16منذ 4 سنوات Jamano naomna like kwene video nilio ifanya
  • @
    @muuminimbaraka8849منذ 4 سنوات Elikopital kama ni u shamba basi huyo mmakonde Wen atapanda fisi
  • @
    @salehesengiyanka5397منذ 4 سنوات Kwaiyo stail humuwez budagala wa kisukuma, gonga like kama unampenda budagala kuliko modi
  • @
    @mbwanakiting7180منذ 4 سنوات Mondi angeamua kuondoka na mashabiki wake uwanja ungebaki busy si ndiyo jamani.
  • @
    @barnababarnaba6044منذ 4 سنوات Simba wametisha hakika pundamilia hawatapona
  • @
    @rayanalmahrooqi4661منذ 4 سنوات Hakuna kama Simba mond hadi Wasafi wote
  • @
    @angelbenedictor7485منذ 4 سنوات Shetani kaiteka dunia kweli hamjui kama mpo kwenye mahesabu ya kutolewa kafala
  • @
    @patrickmbogo7805منذ 4 سنوات Alafu kuna watu wanamfananisha na Ally Kiba kweli
  • @
    @antonyndungu9599منذ 4 سنوات CMB PREZZO ALISHUKA KUTOKA KWA NDEGE 2002 LEVELS
  • @
    @onesmosimon2720منذ 4 سنوات Hao mabaunsa wa diamond ni washamba sana yani bada watulie wanamfwata kila kona afu na mond mwenyewe mshamba pia asa helicopter ya nini uwanjani kama apo sifa za kishamba sana
  • @
    @VENUSTVRwandaمنذ 4 سنوات Much respect to all Citizens of ! Respect to . Respect to .from . 1