المدة الزمنية 11:47

MADHARA YA MAJI BARIDI

10 369 مشاهدة
0
58
تم نشره في 2020/01/08

Unywaji wa maji ni muhimu sana katika mwili wa binaadamu kwani husaidia katika kusaga chakula, husafisha fingo na hata kibofu cha mkojo. Licha ya maji hayo kuwa muhimu katika mwili wa binaadamu, lakini pia ikiwa yatatumika vibaya yanaweza kuwa hatari na kudhuru mwili. Maji baridi husababisha madhara makubwa katika mwili wa binaadamu na kumfanya ateseka milele. Katika hali ya kawaida ni lazima mtu anywe maji lakini lazima ieleweke kuwa maji yanayotumika ambayo yanawekwa kwenye friji siyo mazuri kwa afya.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 12