المدة الزمنية 8:43

Nitafuta makanisa Dar

بواسطة FULLHABARI TV
154 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/05/28

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala amewasha taa nyekundu kwa wamiliki wa makanisa ya majumbani ambayo hayajafuata utaratibu wa ujasiri, amesema kwanza amewauma sikio lakini ni vizuri wajirekebishe wenyewe kabla ya serikali kutoa tamko. Amesema makanisa ambayo hayafuati utaratibu ni kero kubwa kwa jamii

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0