المدة الزمنية 8:22

Usiogope Kuanza Upya - Joel Nanauka

بواسطة Joel Nanauka
33 662 مشاهدة
0
642
تم نشره في 2019/08/12

Leo Katika Muendelezo Wa Masomo Yangu Nakuletea Somo Lisemalo USIOGOPE KUANZA UPYA,Kumbuka Ukimaliza Kuangalia Video Hii Usisahau Kulike,Kucomment Na Kushare Video Hii Kwa Watu Wengi Zaidi. YAPO MAMBO YA MSINGI NA KUZINGATIA UNAPO ANZA 1.Bora Uanze Upya Kuliko Kuelekea Muelekeo Unakoelekea. 2.Kuanza Upya Siongumu Kama Unavyofikiria 3.Unavyochelewa Kuanza Upya Ndivyo Unavyoongeza Gharama. 4.Anza Kidogo Kidogo (Start Small). 5.Sikiliza Ndani Yako (Listen To Yourself). Jaribu Kutafakari Kuhusu Kazi Yako,Kuhusu Biashara Yako Au Mahausiano Yako Je Unataka Kuanza Upya? Chukua Hatua. #JoelNanauka#SeeYouAtTheTop#TimizaMalengoYako.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 141