المدة الزمنية 17:50

DONDOO ZA LET'S TALK FINANCE - 7TH APRIL 2021

بواسطة Edmund Munyagi
1 178 مشاهدة
0
19
تم نشره في 2021/04/26

LET'S TALK FINANCE ni event ambayo inafanyika mara moja. kila miezi mitatu ikiwa na dhumuni la kupeana elimu na maarifa kwenye masuala ya fedha na udhiniti wa fedha binafsi pamoja na fursa mbali mbali za uwekezaji na biashara. Event inayofuata itafanyika tarehe. 7/7/2021. Nifollow kwenye Instagram @ekmunyagi ili kupata taarifa za events mbali mbali.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4