المدة الزمنية 5:26

JOSE WA KIGOGO KATI AJA KUOMBA MSAMAHA/BAADA YA KUMRUDISHA MKEWE MAMBO YAMERUDI VILEVILE

بواسطة Geah Habibu
43 551 مشاهدة
0
471
تم نشره في 2021/06/06

Jose amenifwata ofisini kuja kuomba radhi kwangu na kwa watanzania wote kwa ujumla ambao tulimpambania mkewe na mdogo wake waweze kuondoka ili aishi kwa amani kutokana na vitendo alivyokuwa akifanyiwa na mkewe. Yamemfika yeoi Jose Mtizame hapa akielezea mwenyewe #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1260