المدة الزمنية 11:45

Chips za muhogo & Bajia ( Zanzibar Mix part 1)Kiswahili

104 937 مشاهدة
0
975
تم نشره في 2016/04/29

Mahitaji: Muhogo kiasi Chumvi Mafuta ya kukaanga Kwa kukausha chips weka oven 200F au 95C Bajia: Kunde ( Black eye pea) Kikombe 1 Chooko nusu 1/2 kikombe ( kama utapenda) Kitunguu thom chembe 2 Tangawizi Mbichi kiasi kijiko kimoja kidogo Kitunguu maji 1/2 Majani ya giligilani Pili pili mbichi kama utapenda Chumvi kijiko 1 kidogo au zaidi kama utapenda Baking powder 1/4 robo kijiko kidogo Mafuta ya kukaangia

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 153