المدة الزمنية 3:25

VITA YA MAWAZO (Mwl. Mgisa Mtebe)

بواسطة Mgisa Mtebe
25 531 مشاهدة
0
320
تم نشره في 2018/11/25

Mgisa Wilson Mtebe ni Mwalimu wa Neno la Mungu ; ni mtotowa pili wa Dr. Wilson Mtebe na Mama Usuli Mtebe wa Morogoro mjini. Kitaaluma, Mgisa ana shahada ya kwanza katika Uchumi na Mipango (BSc. In Planing) Chuo kikuu cha mjini Morogoro. Pia Mgisa ni mwalimu mwenye Diploma kutoka Chuo cha Ualimu cha Kanisa la kilutheri cha jijini Mbeya. Mgisa amekuwa akifundisha neno la Mungu kwa ufasaha, katika Makanisa , Makongamono Vyuo nashule mbalimbali, ndani na nje ya Tanzania . Huduma hii ya Ualimu aliyopewa na Mungu imekuwa Baraka nyingi kwa watu wengi. Mobile : +255 753 497 655 Website: http://www.mgisamtebe.or.tz/ facebook : https://www.facebook.com/Mgisa-Mtebe Instagram : https://www.instagram.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 18