المدة الزمنية 9:33

DR MAGUFULI AKAGUA NDUNDU SOMANGA 65 KM I

بواسطة Jimmy Jo
197 032 مشاهدة
0
559
تم نشره في 2013/07/19

DR MAGUFULI AKAGUA NDUNDU SOMANGA 65 KM II

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 125
  • @
    @DottRoBrمنذ 3 سنوات I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous id="hidden1" class="buttons"> president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty ....وسعت 11
  • @
    @uwezo86منذ 5 سنوات My Fellow Tanzanians, let’s support our President. 14
  • @
    @bigdreamer8857منذ 3 سنوات Wanaotazama kazi za huyu jemedari wakati yupo mwanza kuagwa nipe like zoote,.. R.I.P our president 48
  • @
    @geopolitics94منذ 3 سنوات We will forever miss you President JPM 5
  • @
    @alphachanneltz2668منذ 3 سنوات Lala salama magufuri
    Nione like za kamanda wetu R.I.P
    36
  • @
    @jumakapilima7295العام الماضي A real man that was very patriot to his country!! RIP 2
  • @
    @abednego3876منذ 5 سنوات Anaye muangalia huyu mwanaume wa shoka 2019 alike hapa 100
  • @
    @baloziwairamba7945قبل 4 أشهر Anayeangalia hii Video Dec 23/2023 plz like hapa 2
  • @
    @gitiganiibrahimdanhi7692منذ 3 سنوات Tutakukumbuka Daima Mzee Magufuli ulisimamia ukweli na hukutaka kuyumbishwa na mtu yeyote.
    Rest easy our Hero JPM ♥️♥️♥️
    15
  • @
    @carubryant6471منذ 3 سنوات jamani nipo apa 2021 an dah naumia sana 13
  • @
    @claramhina9605منذ 3 سنوات Da Mungu hii Damu ispotee bure usikae kimya. Alikua anapenda Watanzania Siku nyingi 7
  • @
    @saimonpeter3788منذ 3 سنوات Utabaki kuwa rais wangu milele we baba ulale Salam mpendw 15
  • @
    @josephatkiliko2546منذ 3 سنوات Pumzika Kwa amani Dk John POMBE JOSEPH Magufuli Mungu Akupe pumziko la milele. 6
  • @
    @RD-ml7piمنذ 3 سنوات Mungu akulaze mahari pema pepon msema ukweli,mchapa kazi mungu akutangulie 5
  • @
    @kishimbamusic5116منذ 4 سنوات Ambaye anafuatilia 1 Julai 2020/shughuli za Magufuli Alisa waziri was ujenzi. Gonga like. 5
  • @
    @salarytz6911منذ 5 سنوات Mh rais weng wetu tumerud ccm kw ajir yko hongera sana 21
  • @
    @marcodominico9503منذ 5 سنوات NDO MAANA HUWA TUNASEMA MTU UWA HAFI MOJA KWA MOJA. AKIFA HUWA ANA KUWA CONVERTED KWA NJIA NYINGINE. " NYERERE IS BACK " 5
  • @
    @idrissapetro6515منذ 5 سنوات Wewe Rais tulikutarajia Hawa kunguni wanaongata makario Yao acha waendelee wewe chapa kazi mungu akulinde 12
  • @
    @hamismbotoni5531منذ 5 سنوات Hapo tu ni wazir angalia anavyo jituma wanao muona anatumika madalaka vbaya watakuwa wanamkosea sana yy ndio utendajiwake huwo apend kuleta siasa kwenye ukwel yy kaz tu 6
  • @
    @mariethapesha2845منذ 8 سنوات mweshimiwa jpm we nikiongozi2 hakuna mwingine uko juu big up kwakweli 8
  • @
    @lawrencem3682منذ 9 سنوات kiongozi bora huletwa na mungu,huyu mzee nimzalendo,pia nimkali sana. kwahapa tulipofika tanzania tunahitaji rais wa dizaini hii,umenishawishi na kura yangu ikuongezee ushindi JPM 32
  • @
    @williamenos7641منذ 6 سنوات Ulitisha na unaendelea kutisha ntaendelea kuangalia YouTube kazi zako za nyuma 11
  • @
    @olaislukumay2208منذ 5 سنوات Huyu jamaa anauchungu na nchi hii Mungu amlinde 4
  • @
    @smstore5535منذ 3 سنوات Dahsidhan kama tutapata jembe kama dk magufuli tena. Alikua na upekee wake.. Mungu amlaze mahali pema ameen!! 4
  • @
    @anthonykusita7102منذ 7 سنوات Rais J.M.P nimzalendo wa ukweli Tz sijawahi kuona kwa kweli kwa sasa. 13
  • @
    @yohanamaiga3031منذ 7 سنوات you deserved to be a president Dkt. Magufuli 11
  • @
    @johnpesambili4806منذ 5 سنوات Kabisa hii ni zawadi ya watanzania kutoka kwa mungu. 6
  • @
    @jumakapo9914منذ 5 سنوات Kweli baba mungu alikuteuwa uwe mkweli na mkombozi wa Tanzania Tanzanian owe 4
  • @
    @mjubaمنذ 5 سنوات Najua wew ni jembe la kazi na ndo maana nilikupa kura yangu 3
  • @
    @martinswai8031منذ 3 سنوات Pumzika kwa amani JPM. Umefanya kazi kubwa nchi hii 4
  • @
    @msafiriabdallah7648منذ 9 سنوات JPM waonyeshe jinsi ya kufanya kazi mawaziri utakaowachaguwa! 14
  • @
    @nuhakamgisha3505منذ 6 سنوات ndo maana nilimpgia kura.cz alionekana before..mungu azidi kumbariki raisi wetu 5
  • @
    @geraldjacksonmasalu4989منذ 9 سنوات mabadiliko ya kweli yanatoka kwa magufuli. Sina shaka na ww pia kura yangu umeipata. 11
  • @
    @edwardedward2520منذ 7 سنوات mh. jpm mungu aendelee kukulinda una moyo wa dhati kuleta mageuzi ktka taifa. 7
  • @
    @allymkwepu7949منذ 5 سنوات Mzee huyu ana uchungu xana na hii nchi 5
  • @
    @tzkwanza3861منذ 6 سنوات jpm nakuibiya Siri njoo kwenye barabara ya mtwara Tandahimba yani uone vituko uku 7
  • @
    @chrismutisyaمنذ 8 سنوات Imagine.wakati huu Dkt. Magufuli alikuwa tu waziri 24
  • @
    @frankvianey2438قبل 2 أشهر Aisee kumbe mzee alianza ukali na ufuatiliaji wa mambo zaman sana
  • @
    @gideonkalumbu5220منذ 4 سنوات Huyu ndiye Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli tumsaidie huyu ndiye Rais wetu. 3
  • @
    @davidmihambo3051منذ 7 سنوات is the best leader ever but is it 30 ft or 30m road reserve ? 3
  • @
    @margarethsolomon9823منذ 3 سنوات Baba ulikuwa mwamba hata kabla ya kuwa Rais. Nilikukubali ndani ya moyo wangu. Rest in peace daddy., 3
  • @
    @petromwamlima4120منذ 9 سنوات Tuache mbwembwe, huyu ni kiongozi bora. anae bisha sitaki ubishi wakati you tube ni watunza kumbukumbu anagalia mwenyewe. waziri gani amejituma class="buttons"> kama yeye Mh. Magufuli?
    Amefanikiwa kuninasa na kura yangu ameinasa pia, nimejiridhisha na utendaji kazi wake
    .
    ...وسعت 42
  • @
    @hojajmagingila1099منذ 6 سنوات Mawaziri wa sasa, hebu jaribuni kufuatilia clip za Mh. Rais Magufuli akiwa waziri. 9
  • @
    @daudimlamka1239قبل 2 أشهر He was a pure African who loved his continent with her people
  • @
    @man.lule.585منذ 5 سنوات Kikwete mwenyewe alimpa jina lá tingatinga gurubosa huyu mheshimiwa anamisimamo ya kuitakia maendeleo Nchi yetu ya Tanzania tangu akiwa Waziri. 3
  • @
    @hindisaid2413منذ 3 سنوات Mungu hafundishwi alijua alichokipanga.
  • @
    @mangegervas9651منذ 5 سنوات Rais saaafiii mno. Angekuwa China angenyongwa
  • @
    @temkezatv4381منذ 5 سنوات Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza id="hidden5" class="buttons"> Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI ....وسعت 1
  • @
    @mamlee7983العام الماضي Alikua mtu wa kazi kweli lkini shida alokua nayo ni ukatili na uuwaji hakutaka kukosolewa
  • @
    @hassanlamata2312منذ 3 سنوات Nimefatilia crip nyingi sana za Magufuli amin nawambia huyu mtu hakuwa mtu wa kawaida aliandaliwa na allah hakika kwanza hajawah acha kuvaa beji ya africa kwenye koti lake la suti kama alivyokuwa gadafi 1
  • @
    @furahafedrick8501منذ 4 سنوات Tbc muwe nakipind maalumu chukuen krip zake toka nyuma akiwa wazir watu wajifunze cyo mpaka mtu afe ndo mwanze kutuwekea maklipu nawaombeni 3
  • @
    @tzkwanza3861منذ 6 سنوات njoo kwenye barabara ya mtwara Tandahimba uone vituko wameanza kujenga nyumba zao za kukaa Na bati juu zimeaza kuingia kutu bado barabara aijaisha 4
  • @
    @loner_wolfمنذ 3 سنوات Mm natazama akiwa hatunaye tena. hawa watu wa aina hii wapo wengi sana nchi hii ILA kuwapata ni kazi sana kutokana na mfumo wa kujuana uliokithiri id="hidden7" class="buttons"> nchi hii. Hawa watu huzaliwa hivyo kama walivyo wala sio kitu cha kufundishwa au kuadopt, when you adopt things, later on tends to filter out and things remain same. But huu mwamba ukianza kazi walisema nguvu ya soda, baadae wakakubali, wakasema vyuma vimekaza, baadae wakazoea wakafurahia maisha, wakasema atapoa, yeye akazid kuchemka tu mpk wakawa wanaomba poh. Hizi ni karama mtu anazaliwanazo.MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI DR JPM ....وسعت 1
  • @
    @thomasmartinez786منذ 2 سنوات Tuendelee kupata madini 2022✅️✅️ like hapa
  • @
    @mangegervas9651منذ 5 سنوات Kumbe kutoka zaman ulikuwa c mbabaishaji!!! 1
  • @
    @neymamchau7311منذ 6 سنوات Jamaa uyo alieshika cm simuelewi anampa lais cm au anamrekon mbona hana heshima 4
  • @
    @paschalsamwel5921منذ 5 سنوات Najivunia kuwa Na Rais anayepigania maslahi ya watanzania,hakika watanzania tupo nyuma yako Mh Rais Magufuli. 5
  • @
    @samwelshepa8443منذ 3 سنوات Nabii hapati heshima nyumbani kwao. Wema umeutenda malipo ni kejeli!
  • @
    @kingmagufuliforever3144منذ 3 سنوات Jpm ñi mungu wng wa pili nàkupnda xn màgufuli
  • @
    @user-zx3he3lp3oقبل 10 أشهر Rest in peace magufuli ulikuwa jembe jwa ufisadi n nchj ilipata maendeleo
  • @
    @mhojamsafiri2273منذ 5 سنوات Huyu jamaa kumbe mwendo wake ni huohuo?hana mchozo toka kitambo 3