المدة الزمنية 40:8

JIFUNZE KUONDOA SUMU ILIYOPO NDANI YA FAMILIA YAKO KWA KUTUMIA DAMU YA YESU

بواسطة GUIDED STEPS
47 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2020/08/17

JIFUNZE KUONDOA SUMU ILIYOPO NDANI YA FAMILIA YAKO KWA KUTUMIA DAMU YA YESU | GUIDED STEPS  Bwana Yesu asifiwe! Channel hii inakuletea mafundisho mbali mbali ya Neno la Mungu litakalo kusaidia katika hatua zako na zaidi kumtegemea Mungu au kukuimarisha katika kutegemea Msaada wa Mungu kupitia Neno lake kama ilivyoandika kwenye kitabu cha Mathayo 4:4 na Kumbukumbu ya Torati 8:3 na hili ndilo Neno tunaloambatana nalo kama huduma ya GUIDED STEPS. Huduma hii ya GUIDED STEPS MINISTRY inapatikana Tabata, Dar es salaam na video hizi unazotazama lengo lake ni kukusaidia ili uweze kusikia sauti ya Mungu unapotafakari na kujifunza Neno lake ili liweze kukusaidia katika mazingira unayoishi kwa sasa hapo ulipo. Mawasiliano: Kwa ushauri, shuhuda, maoni, sadaka na maombi unaweza kutufikia kupitia namba zifuatazo +255 748 750 096 - Mtumishi Frank Mosha +255 715 241 377 - Mwalimu Jackson Swebe Unaweza pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama ifuatavyo; https://www.instagram.com/guidedstepstaznania https://www.facebook.com/guidedstepstanzania Baraka za Mungu ziambatane nawe unayefuatilia mafundisho haya, Usisahau kujiunga na sisi kwa kubonyeza SUBSCRIBE na alama ya kengere ili kutupata kila tunapoweka mafundisho. Lakini pia karibu sana upatapo nafasi kujiunga na sisi LIVE maeneo ya Tabata Segerea, Dar es salaam, Tanzania kila siku ya Jumatano. Mungu akubariki sana #GuidedSteps #HudumayaGuidedSteps #GuidedStepsMinistry

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4