المدة الزمنية 3:7

Meli yenye mionzi ya nyuklia yang’oa nanga bandarini Mombasa

بواسطة Mwananchi Digital
1 817 مشاهدة
0
12
تم نشره في 2021/12/21

Vyombo vya habari vya Kenya viliripoti kuwa melihiyo ilitiananga katiaka bandari ya Mombasa, ikiwa imesheheni taka hatari za nyuklia ambazo zilipaswa kutupwa katika pwani ya Afrika Mahariki na hivyo kuhatarisha afya za mamilioni ya watu katika eneo hilo Shehena iliyokwamo kwenye meli ya MV Piraeus Voy ilifanywa ionekane kama shehena ya makufuli na vifaa vingine vya ujenzi na ilizuiliwa bada ya Wizara ya Afya ya Kenya kutoa tahadhari kwamba ilikuwa imebeba nyenzo za mionzi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8