المدة الزمنية 2:51

TAZAMA | WAZIRI JAFO ATINGA MRADI WA RELI YA KISASA AAGIZA KANUNI ZA MAZINGIRA ZIZINGATIWE

بواسطة Daily News Digital
548 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2021/09/02

Waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa rais muungano na mazingira seleman jafo ameliagiza shirika la reli nchini TRC pamoja na mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kipande cha morogoro dodoma kuzingatia kanuni za mazingira hususani katika maeneo yanayochimbwa vifusi ili kutokuacha athari za kimazingira pale mradi huo utakapokiwa umekamilika. Ni katika ziara ya kutembelea baadhi ya maeneo ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa jijini dodoma waziri jafo anatoa maagizo kwa wasimamizi wa mradi wa huo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176 ... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig ... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid ... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0