المدة الزمنية 13:54

PROFILE: WEMA SEPETU, MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MAISHA YAKE

بواسطة Global TV Online
537 044 مشاهدة
0
2 K
تم نشره في 2018/04/06

WEMA SEPETU, MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MAISHA YAKE Balozi wa Tanzania isaack Aibraham Sepetu alizaliwa Octobar 15 1943 ni mzaliwa wa Tabora ila alikulia mjini zanzibar,. mzee sepetu alisoma elimu yake ya msingi na sekondary St. joseph mnamo mwaka 1952 hadi 1963, baada ya hapo mzee sepetu alienda kujiunga na chuo Berlin nchini Ujerumani mwaka 1964 hadi 1970. huko alisoma shahada yake ya uchumi, alianza kufanya kazi katika serikali ya mapinduzi ya zanzibar mwaka 1971 hadi mwaka 1972 kama mkuu wa Bizanje msaidizi. lakini mwaka 1982 hadi mwaka 1989 alipewa nafasi ya kuwa Balozi wa tanzania nchini Urusi na mwaka 1989 hadi mwaka1990 alikuwa balozi nchini zaile na huyo ndio baba ake wema na ndio chanzo cha jina sepetu.. Wema Sepetu alizaliwa tarehe 28, September mwaka 1988 katika hosptal ya Dr. Andrew's Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu ,Wema Sepetu ni msichana anayetoka kwenye Familia ya kibalozi amesoma elimu ya msingi hadi sekondari katika shule moja tu iitwayo "Academic International" iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam na baadae kwenda Malaysia alipoenda kusomea uongozi wa biashara. Wema hakufikiria kama atakuja kuwa mmoja kati ya ma-star wakubwa hapa nchini, hadi nchi za nje mpaka siku mmoja alipo kuwa kwenye matembezi yake Sleep Way Masaki alikutana na dada Mange Kimambi na kushawishiwa ashiriki mashindano ya Miss Tanzania 2006... Wema Sepetu aliibuka kidedea na kuwagalagaza Jokate Kidoti Mwegelo na Lisa Jensen baada ya hapo aliwakilisha Tanzania katika mashindano ya miss ward huko nchini poland Wema alianza kuigiza rasmi mwaka 2007 alipoonekana kwenye filamu ya POINT OF NO RETURN ambapo halicheza kama mke wa jamaa tajiri mchawi ambaye daima huua wapenzi wake wa kike kama sadaka. lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 237
  • @
    @rugurujohn8905منذ 6 سنوات She is a reall queen i love her so much. She has brains she is beautiful she is a star that makes other stars shine more. It would be so nice for her to id="hidden1" class="buttons"> marry Chibu coz thats the true love there. All the best Wema TZ sweetheart African queen ....وسعت 16
  • @
    @sarafinaayieta8002منذ 4 سنوات I love this girl soo muchshe inspires me a lot. 5
  • @
    @madmoisellefrancis9222منذ 6 سنوات Nampenda Sana'a Huyo Madam amejitahid kufanya maisha yake kuwa hapo yalivyo changamoto za kimapenzi n kawaida hivyo wanaomsema vby huwa cwaelewi kabisaaa, id="hidden2" class="buttons"> keep going madam Wema Mwenyez Mungu akujalie kwa kila jambo ulifanyalo inshaalaah ....وسعت 12
  • @
    @silviammasa8338منذ 6 سنوات I just love her!!!! No matter if I know her or not. Big up love 12
  • @
    @rugurujohn8905منذ 6 سنوات I just like the way she loved chibu before akuwe star but wema was star already thats true love there coz most people see Diamond now but before Diamond id="hidden3" class="buttons"> there was Nasheeb who Wema loved but now he is Diamond watu wamfuata haya maisha jameni. I pray u marry chibu n get a baby all the best una roho nzuri sana mami pamoja na kuwa star bado roho safi sana ....وسعت 10
  • @
    @mumcyn7115منذ 6 سنوات I love Wema so much. I hope and pray that one day they will be together with Diamond 18
  • @
    @aminamtondo1816منذ 6 سنوات mungu amlinde sister wema hakuna wa kumtegemea zaid yake Subhanna, xo kikubwa amtegemee yy love u wemaaaa 18
  • @
    @ireneranga7024منذ 6 سنوات Dada uko vizuri jmn toka saut hadi flows mwaaaaaah nimekupenda balaaaaaaa 5
  • @
    @jacquelinemwaya8115منذ 6 سنوات Oooh wema wangu mi naumwa unajua nakupendaga bureee 15
  • @
    @hamidaoman8946منذ 4 سنوات Nakupenda sana wema kilasiku nafikiliaga uweze kuludiana na diamond mumetoka mbali Sana nawaswahili wanasema ukipata chombo kipya usisahau chazamani nakuusu kuzaa utaza ishallah wakatiwako hujafika mama 1
  • @
    @happinessmataluma1948منذ 6 سنوات maisha ya wemaa ni meyapenda sanaaa nice wemaa 8
  • @
    @angelmirindi2234منذ 6 سنوات Wema pole sana dada unatoka mbali mwenyezi Mungu akurudishie haja ya moyo wako munatoka mbalina diamond 1
  • @
    @leilashaban3519منذ 6 سنوات Nakupenda sana tz sweetheart madam wema Isaac sepetu rudi kwa nasibu abduli mnapendezana mkiwa pamoja ludisha moyo nyuma achana na zari na move to wanasafiria nyota yako 1
  • @
    @wardasaid9605منذ 6 سنوات Wema ananyota maashaallah nampenda wema. 7
  • @
    @jacquelinemwaya8115منذ 6 سنوات Mmesikiaaaa mara oo anajifanya kuongea kingereza amesoma huyo na ulaya kakaa nyodo tu za watu 38
  • @
    @joarymagaga9082منذ 6 سنوات Diamond kumbuka fadhila za wema alikuogesha ukang'ara mpaka huyo zar anakupenda usimdharau wema 45
  • @
    @angelmirindi2234منذ 6 سنوات Mungu akusaidie dada pole sana tunakupenda 7
  • @
    @reginanaliaka225منذ 6 سنوات Wema Isaac Sepetu.yaani we ni mwema kweli daaah.Dada mola akujalie 4
  • @
    @angelmirindi2234منذ 6 سنوات Mungu akuku mbuka wema I love u my lovely sister 10
  • @
    @yasintaswahasni4747منذ 6 سنوات Nakupenda sana wemasepetu mana watu awajui undani wako wanakutukana to 2
  • @
    @dachichimbiaji3720منذ 6 سنوات Wema upo vzr ni mtoto ulietoka kwenye familia ya kitajiri 25
  • @
    @nasabimohamed7106منذ 6 سنوات jaman wema sepetu nakukubali sana nakupenda sana nataman hat siku moja nikutane na ww love so much my dear 1
  • @
    @DominicaJMushiمنذ 6 سنوات Nampenda sanaa Wemaa jamanii bora afanye mpngo akapandikize Mimba bwanaa wengi sanaa wanafanya hivyo wanafaidika 3
  • @
    @hellenkumbi6807منذ 6 سنوات Jmn wema kumbe ni msomi,nahitaj kua msomi like she is coz she is my rollmodel, mungu akujalie upate mtoto jmn 1
  • @
    @jovinabunyomyo3993منذ 6 سنوات wema zamani alikuwa mzuri saaaaana pindi kapo kamodo 5
  • @
    @user-nn7fb4rd1iقبل 3 أشهر Nampenda sana wema jamani dada nakupenda Sana❤❤❤
  • @
    @mwanaharusialifakifaki8716منذ 6 سنوات Unaweza hisi nakuchukia ila kunavsiku utaamini nakupenda sanaaaaaa
  • @
    @surujajwie4768منذ 4 سنوات Mashaallah congratulation sweetheart tz 1
  • @
    @mwanaidimwabitibongo8724منذ 6 سنوات nitawapenda daima mondi na wema i lov u 1
  • @
    @zuhurazabiir3769منذ 2 سنوات Wema ana moyo sana daimond kumbuka bila wema mm nisingekujua 1
  • @
    @rashidhemedrashid5269منذ 5 سنوات Mie sijakupenda ww mtangazaji kwa kweli 1
  • @
    @deokisite1046منذ 6 سنوات Pronounce words vizuri,, tumia kiswahili usijifanye kuzungumza km mzungu wew mtangazaji 6
  • @
    @ramadhanjafari7491منذ 6 سنوات umeji taidi kusimulia inavyo takiwa hongela sana dada
  • @
    @baudunekwizera6842منذ 5 سنوات Ameisha tapika asirudishe bitapikisho mu kinywa, uyo diamond siyo mume, ajibakiliye kwa uyo baba ujauzito mungu atawakumbuka watazaa tu
  • @
    @mimaakenirram1405منذ 5 سنوات Madam sepenga nakupenda kumbe joket mkubwa kwa wema pia napenda sana wakiwa na diamond
  • @
    @rizikimussa3944منذ 6 سنوات !! bas jaman rakini usjar bdosana utazaatu rakiniurifanya vibaya kutoa miba mwanadad 7
  • @
    @princenthoki3507منذ 6 سنوات Wanadamu tunaudhaifu wakuongea ovyo bila kuelewa.wema amenenewa mengi mabya kutukanwa eti ni tasa mambo mengi bila kuchunguza na kujua mwanzo wake.sipendi id="hidden6" class="buttons"> mtu mwenye kuongea mabaya kuhusu mtu twastahili kuomba mungu ili kila kitu kiwe sawa.mie si mtanzania lkn nampenda sana wema ....وسعت 1
  • @
    @ngemabohero2853منذ 6 سنوات wema sio mgomba dad muda bado muda ukifika utabeba kwa uwezo wa mungu. 2
  • @
    @lailathmalick8283منذ 6 سنوات Mmh nampenda xna wema nataman niwe kama ww nisaidie 1
  • @
    @omanioman8952منذ 6 سنوات Kumbe ni mdogo
    Maskini kuliko zari
    Wanamuita
    Ooo mtu mzima kumbe wala sio mtu mzima ni mwili tu maskini nampenda sana wema na diamonds
    19