المدة الزمنية 5:31

SABABU NA MADHARA YA KUBADILIKA KWA MZUNGUKO WA HEDHI - ( Kubadilika kwa tarehe za Hedhi ).

بواسطة IsaacParuz
4 656 مشاهدة
0
26
تم نشره في 2020/01/24

Swala la Kubadilika kwa mzunguko wa hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza kuona siku zake bila tarehe au mzunguko maalumu na matokeo yake ni kuwa mwanamke atashindwa kutimiza malengo yake kwa kutumia mzunguko huo sababu ni haueleweki kutoka na kubadilika kwa tarehe ya hedhi,#HEDHI#MIMBA#TANZALIVETV

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 10