المدة الزمنية 11:1

MREMBO JOYCE KUTOKA NORWAY AFUNGUKA ALIVYOMNASA WALTER CHILAMBO NAMKUBALI YEYE TU

بواسطة Erasto Mashauri
569 مشاهدة
0
10
تم نشره في 2022/01/16

Kupitia EmTVNews leo Reporter wako ErastoMashauri nakusogezea Exclusive ya Mwimbaji Mrembo kutoka Norway anaefahamika kwa jina la "Joyce Aline" ambapo amefunguka mengi, kubwa nilitaka kufahamu jinsi alivyoweza kumnasa mwimbaji maarufu wa gospel Tanzania "Walter Chilambo" hadi wakaweza kutengeneza nyimbo kwa pamoja, pia amejibu kuhusu tuhuma wanazotuhumiwa waimbaji kutoka Tanzania za kutokutoa saport kwa wasanii wa nje mara baada ya kufanya nyimbo kwa pamoja. #Subscribe #MYChannel #ErastoMashauri #EmTVNews

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8