المدة الزمنية 6:59

Zitto Kabwe avunja ukimya wake VOA jijini Washington

بواسطة VOA Swahili
312 405 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2020/02/06

KAtika mahojiano maalum na Mwamoyo Hamza wa VOAMbunge wa upinzani ambaye pia ni kiongozi wa chama cha ACT nchini Tanzania, Zitto Kabwe, anasema ana wasiwasi na usalama wake baada ya kupata vitisho kutokana na hatua yake ya kupinga msaada wa serikali kutoka benki ya dunia.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 471