المدة الزمنية 18:54

KUSINIGHT: Harmonize Alivyowakutanisha Nyandu Toz na Country Boy

بواسطة Global TV Online
1 827 مشاهدة
0
22
تم نشره في 2018/06/17

KUSINIGHT: Harmonize Alivyowakutanisha Nyandu Toz na Country Boy WAKALI katika Muziki wa Hip Hop Bongo, County Boy, Chin Bees, Walid na Nyandu Tozz wamewapagawisha mashabiki wengi waliofurika katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar. Katika shoo hiyo iliyoandaliwa na Global Publishers kwa kushirikiana na Wasafi Classic Baby (WCB), kulishuhudiwa mastaa hao wa Hip Hop Bongo wakitumia muda mwingi kuchana na mashabiki mstari kwa mstari huku baadhi yao wakijirusha kucheza na mashabiki. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2