المدة الزمنية 10:42

MANARA: NAACHA KAZI SIMBA SC/ NAANZA KILIMO/ WACHEZAJI WAMENIKERA

بواسطة Dar24 Media
26 226 مشاهدة
0
98
تم نشره في 2021/07/05

Msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara amewatahadharisha wachezaji kuitambua thamani ya jezi ya klabu wanayochezea huku akidai kama haya yatatokea tena mkoani Kigoma (Julai 25), basi ataacha kazi ya usemaji. Kama kawaida yake Manara ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kufikisha tahadhari hiyo kwa wachezaji wote wa Simba SC. Manara amemtumia Nahodha na Mshambuliaji wa kikosi cha Simba SC John Bocco kufikisha ujumbe kwa wanzake. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #manara #bocco #simbasc

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 56