المدة الزمنية 16:32

Tazama magoli kumi bora na save tano za maana kutoka Nyavuni ya Machi 11, 2020

بواسطة Azam TV
604 057 مشاهدة
0
1.7 K
تم نشره في 2020/03/21

Kabla ya ligi kusimama kutokana na janga la virusi vya Corona, Kipindi cha #Nyavuni cha #AzamSports2 kilinasa magoli mengi lakini kumi bora yako hapa, pamoja na michomo mitano iliyookolewa na magolikipa kibabe... huku mkali wao akiwa ni golikipa wa Yanga Metacha Mnata. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 203