المدة الزمنية 9:1

NAFASI NYINGINE Joel Lwaga Ft Roc Worshipperz

بواسطة ROC Worshipperz
226 553 مشاهدة
0
1.7 K
تم نشره في 2021/07/18

Umeniita mwana Niliyekuwa mtumwa Umenisimamisha katika wingi wa neema Na umeniketisha mahali pa juu sana Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Maana umenipa Nafasi nyingine Umenipenda tena bila kukoma Nafasi nyingine Neema yako imeniinua tenah Nafasi nyingine Umenipa tena bila kuchoka Nafasi nyingine Mungu wa neema (wa neema) Ahaaaaa. Wa neema(uuuuh wa neema) Aaaaah Wa neema(wa neema) Aaaah Wa neema (wa neema) Aaaaah Madaktari walisema sitapona tena Walimu walisema nitafeli Ndugu na jamaa walisema nimeshindikana Na kumbe wewe waniwazia mema Umri uliposogea walisema ndoa sio fungu langu Nilipofiwa na mpendwa Yule walisema sitaweza tenah Baada tu ya kufilisika sikumwona wa kuniombea Na kumbe ndani yao walifurahia niliyopitia Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Maana umenipa Nafasi nyingine Umenipenda tenah bila kukoma Nafasi nyingine Neema yako imeniinua tenah Nafasi nyingine Umenipa tenah bila kuchoka Nafasi nyingine Mungu wa neema (Wa neema) Ahhaaa Wa neema (Wa neema) Ahaaaa. Wa neema (Wa neema) Ahhaaa (Heeeeyy) Maana umenipa Nafasi nyingine (Heeeey) Kweli umenipa Nafasi nyingine (Mimi nisiyestahili) Umenipa Nafasi nyingine (Heeeey) Bwana umenipa Nafasi nyingine Mungu wa neema (Wa neema) Aaahh... (Aaahh) Wa neema (Heeeey Wa neema) Aaahh (Nashukuru Asante) Neema (Wa neema) Aaaah. Wa neema #Nafasinyingine #Joellwaga #Rocworshippers

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 76