@lucaspaulo5371منذ 3 سنواتNimeamini maneno ya baba revo mwijaku ni mhaho
@
@nurungole3961منذ 3 سنواتSimba mbaziii haaaaahaaaaa jamani kazi ipo kwa mwijaku here heeee hiii kali kweliiii
@
@husseinyusuph5458منذ 3 سنواتAmakweli ajali imemfanya vibaya mwijaku daah pole 1
@
@anordsyliacus9288منذ 3 سنواتMwijaku .Lin katiba Ikasomwa kwa "Section"
@
@lydiamajula5083منذ 3 سنواتHahahha jaman nimech wakt Niko peke yangu et navua koti tu daah maisha haya jamn
@
@awadhrajabu1403منذ 3 سنواتWe Tatizo Ujakutana Na Waliobobea Kwenye Imani Wasiotaka Watu Kuvunja Katiba Ya Amli Kumi Za Mungu 8
@
@sylivestermwasile4203منذ 3 سنواتMnauhakika hapo anayeongea ni mwijaku kwelii MBona yuko tofauti na maswalii au mwijaku Alichanganyikiwa kwa kauli yakee
@
@jayfourtv115منذ 3 سنواتHuyu mwijaku anapuyanga sana duh kweli kapata muhao
@hildaurassa4174منذ 3 سنواتAmeishiwa maneno Mwijaku hakujua sheria aibu hiyo
@
@raiswamodo6367منذ 3 سنواتTunataka jeje black tupake asali mwili nzima
@
@thomasnyarusanda2608منذ 3 سنواتHufai Wewe.mbaazi na mpira wapi na wapi na wewe ni mropokaji wa timu na uliahidi kuvua nguo uutakapofungwa,usituletee ukatiba katiba,,mpuuzi Wewe. 2
@
@blastusmwigeka5638منذ 3 سنواتHuyo na bernad, morisson Ni mabwabwa kitambo sana. Sema mwijaku Ni ustaarabu unamsitiri.
@
@Checkers_Tzمنذ 3 سنواتmhasishaji sasa anataka kuongelea mbaazi
@rashidiwaiti6686منذ 3 سنواتHiyooo Ni timuu ya wahuniii hiyoo wanavunua viti uwanjani mikoani nyumba za kulala wageni huwa wanahalishaaa
@
@ismailzuberi3627منذ 3 سنواتWw mwijaku aujui unachokizungumza ww kama mbwa 2
@
@kouswayisaidahamada9979منذ 3 سنواتBaba levo amecha sema huyu jamaa amepata ajali yakichwa Sasa hayo ndo matokeyo yake
@
@comrademlewaisavile336منذ 3 سنواتMwijaku leta istighfar na uombe msamaha. Achana na siasa.pili tujifunzen kunyamaza jaman ndimi na tupu zetu zitatuingiza motoni tusipokuwa makini Allah atupe tawfq
مقاطع الفيديو ذات الصلة على MWIJAKU:KUTEMBEA UCHI/MASHABIKI WAMVAMIA KUMVUA NGUO/AMJIBU MANARA/MO DEWJI/DIAMOND AMENIPONGEZA:
Sasa hayo ndo matokeyo yake