المدة الزمنية 10:25

''TUKIDAI HAKI BILA KUWAJIBIKA TUNAUWA TAIFA, TUKAISAIDIE SERIKALI, FURSA ZIPO NYINGI'' - Dr.Gervas

بواسطة Global TV Online
1 497 مشاهدة
0
22
تم نشره في 2020/08/02

''TUKIDAI HAKI BILA KUWAJIBIKA TUNAUWA TAIFA, TUKAISAIDIE SERIKALI, FURSA ZIPO NYINGI'' - Dr.Gervas Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi kupitia kwa wakufunzi wake wameandaa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa chuo hicho ambao wanatarajiwa kuhitimu hivi karibuni Mafunzo hayo Ni sehemu ya kuwakumbusha yale muhimu wanayopaswa kuzingatia huku wakisisitiza zaidi kwenda kuwasaidia jamii na serikali katika nyanja mbalimbali kulingana na taaluma zao Chuo kikuu Cha Ushirika Moshi kimekua na utaratibu wa kutoa semina elekezi ya kuwakumbusha wahitumu Mambo muhimu ya kuzingatia wanapoenda kuajiriwa,kujiajiri na kutumiwa na jamii ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2